• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 24, 2015

  LIVERPOOL WAFUNGA NDOA MPYA NA STANDARD CHARTERED HADI 2019


  (Left to right): Liverpool  

  Mabalozi na viongozi wa Liverpool wakiwa wameshika kwa pamoja jezi ya klabu hiyo na Maofisa wa benki ya Standard Chartered baada ya kusaini Mkataba mpya wa miaka mitatu wa udhamini wa jezi, ambao utamalizika mwishoni mwa msimu wa 2018-2019. 
  Club ambassadors and executives pose with Standard Chartered chairman Sir John Peace on Tuesday
  Mabalozi wa klabu na viongozi wakiwa na Mwenyekiti wa Standard Chartered, Sir John Peace Jumanne wakati wa kusaini Mkataba huo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL WAFUNGA NDOA MPYA NA STANDARD CHARTERED HADI 2019 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top