• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 24, 2015

  DNIPRO YAITUPA NJE BRUGGE EUROPA LEAGUE

  The dangerous Yevhen Konoplyanka shields his face as he flies into a challenge with Ruud Vormer
  Hatari; Yevhen Konoplyanka wa Dnipro akiepusha sura yake na daluga la Ruud Vormer wa Brugge katika mchezo wa Robo Fainali Europa League jana Uwanja wa NSK Olimpiki. Dnipro ilishinda 1-0 bao pekee la Yevhen Shakhov na sasa wanakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 1-0 baada ya sare ya 0-0 katika mchezo wa kwanza.

  PICHA ZAIDI NENDA: 

  http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3052994/Dnipro-1-0-Brugge-1-0-agg-Yevhen-Shakhov-scores-late-winner-hosts-book-place-Europa-League-semi-final.html#ixzz3YBiUjHMH 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DNIPRO YAITUPA NJE BRUGGE EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top