• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 29, 2015

  KOMBE LA FA ENGLAND SASA KUITWA EMIRATES

  KOMBE la FA michuano mikongwe zaidi duniani ya mtoano, inatarajiwa kubadilishwa jina na kuwa Kombe la Emirates FA kufuatia Mkataba mpya wa udhamini wa Pauni Milioni 30.
  Katika mpango huo ambao utahitimisha asili ya michuano hiyo, inafahamika Chama cha Soka England (FA) kimeingia Mkataba wa miaka mitatu Shirika la ndege la Emirates.
  Dili hilo linalotarajiwa kupewa baraka na bodi ya FA Alhamisi, inaaminika litakuwa na thamani Pauni Milioni 10 kwa mwaka kwa michuano hiyo yenye 'umri' wa miaka 144 sasa.
  Arsenal won last season's FA Cup competition, which will be rebranded the Emirates FA Cup
  Arsenal wakisherehekea taji FA, ambalo sasa litajulikana kama Emirates FA

  Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3059608/FA-Cup-set-renamed-Emirates-FA-Cup-three-year-30m-sponsorship-deal.html#ixzz3YdlNPSgG
  Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOMBE LA FA ENGLAND SASA KUITWA EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top