• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 24, 2015

  NAPOLI YAWANG'OA WOLFSBURG EUROPA LEAGUE NA KUTINGA NUSU FAINALI

  Napoli star striker Gonzalo Higuain (right) tries to dribble his way through the Wolfsburg defence
  Nyota wa Napoli, Gonzalo Higuain (kulia) akiwapangua mabeki wa Wolfsburg katika mchezo wa Robo Fainali Europa League usiku wa kuamkia leo Uwanja wa San Paolo, timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Napoli yalifungwa na Jose Callejon na Dries Mertens, wakati ya Wolfsburg yalifungwa na Timm Klose na Ivan Perisic. Napoli imeingia Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-3, baada ya awali kushinda 4-1.


  PICHA ZAIDI NENDA: 

  http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3052993/Napoli-2-2-Wolfsburg-agg-6-3-Rafael-Benitez-s-reach-Europa-League-semis.html#ixzz3YBluiTbq 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NAPOLI YAWANG'OA WOLFSBURG EUROPA LEAGUE NA KUTINGA NUSU FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top