• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 30, 2015

  REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA DHIDI YA ALMERIA

  Los Blancos striker Javier Hernandez is pursued by Almeria defender Mauro Dos

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Javier Hernandez 'Chicharito' anayecheza kwa mkopo kutoka Manchester United, akimtoka beki wa Almeria, Mauro Dosmkatika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu. Real ilishinda 3-0 mabao yake yakifungwa na James Rodriguez, Mauro Dos Santos aliyejifunga katika jitihada za kuokoa krosi ya Toni Kroos na Alvaro Arbeloa la tatu. 

  PICHA ZAIDI NENDA: 

  http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3061292/Real-Madrid-3-0-Almeria-James-Rodriguez-scores-wonder-goal-Carlo-Ancelotti-s-cut-Barcelona-s-La-Liga-lead-two-points.html#ixzz3Yl8XqA63 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA DHIDI YA ALMERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top