• HABARI MPYA

    Thursday, April 23, 2015

    JUVE WATINGA NUSU FAINALI YA KWANZA TANGU 2003 LIGI YA MABINGWA


    Wachezaji wa Juventus ya Itaia wakishangilia baada ya kutinga Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kufuatia kulazimisha sare ya 0-0 ugenini na Monaco nchini Ufaransa, hivyo kufuzu kwa ushindi wa jumla wa 1-0, iliyoupata nyumbani wiki wiki iliyopita katika Robo Fainali ya kwanza. Kibibi Kizee hicho cha Turin, Juve, ambacho mara ya mwisho kilifika hatua hiyo mwaka 2003, kimeungana na Real Madrid, Barcelona zote za Hispania na Bayern Munich ya Ujerumani katika Nusu Fainali mwaka huu.

    PICHA ZAIDI NENDA: 

    http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3051209/Monaco-0-0-Juventus-agg-0-1-Old-Lady-preserves-leg-lead-make-Champions-League-semi-final-2003.html#ixzz3Y4hdr2FO 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUVE WATINGA NUSU FAINALI YA KWANZA TANGU 2003 LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top