• HABARI MPYA

    Wednesday, April 22, 2015

    HATIMAYE TIKETI ZA PAMBANO LA MAYWEATHER NA PACQUIAO ZAINGIA SOKONI

    HATIMAYE tiketi za 'Pambano la Karne' kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao zimeanza kuuzwa.
    Hiyo inamaanisha pambano hilo la utajiri mkubwa katika historia ya ngumi lipo Mei 2, mwaka huu ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas.
    Tiketi zimeingia sokoni leo Jumatano baada yaa wiki kadhaa za malumbano baina ya Mayweather Promotions na promota wa Pacquiao, Bob Arum.
    Tickets for the much anticipated fight between Floyd Mayweather and Manny Pacquiao are on sale
    Tiketi za pambano la Floyd Mayweather na Manny Pacquiao zimeingia sokoni
    Pacquiao posted a picture of him looking in good shape 10 days before the fight 

    Pacquiao ameposti picha yake akionyesha mwonekano wa mwili wake siku 10 kabla yaa pambano 

    Tatizo hilo limetatuliwa baina ya Arum, mshauri wa Mayweather, Al Haymon na Les Moonves wa Televisheni ya CBS ambayo imenunua haki za kurusha pambano hilo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HATIMAYE TIKETI ZA PAMBANO LA MAYWEATHER NA PACQUIAO ZAINGIA SOKONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top