• HABARI MPYA

  Tuesday, April 28, 2015

  SHANGWE ZA UBINGWA YANGA RAHA TUPU WACHEZAJI, MAKOCHA HADI MASHABIKI

  Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm aliungana na wachezaji wake na mashabiki kushangilia ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kuifunga Polisi Moro mabao 4-0 Jumatatu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 


  Wachezaji wa Yanga SC wakicheza kushereheka ubingwa wao

  Ilikuwa furaha tupu kwa kila mchezaji wa Yanga SC

  Mashabiki nao walikuwa na siku nzuri sana

  Mashabiki wa Yanga SC walikuwa furaha ya kutosha

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHANGWE ZA UBINGWA YANGA RAHA TUPU WACHEZAJI, MAKOCHA HADI MASHABIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top