• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 29, 2015

  GUARDIOLA 'ABOREKA KICHIZI' KUKIMBIWA NA KOCHA MWENZAKE JANA

  KOCHA wa Bayern Munich, Pep Guardiola jana aliboreka ile mbaya, kufuatia kocha wa Borussia Dortmund, Jurgen Klopp kumpuuza na kukimbia kwenda kushangilia ushindi wa timu yake katika Nusu Fainali ya Kombe la Ujerumani.
  Bayern Munich ililazimishwa sare ya 1-1 na Borussia Dortmund Uwanja wa Allianz Arena kabla ya kufungwa kwa penalti 2-0 baada ya dakika 30 za nyongeza. 
  Philipp Lahm na Xabi Alonso wote walipoteza penalti zao kati ya nne ambazo Bayern walikosa.
  Robert Lewandowski alianza kuifungia Bayern, kabla ya Pierre-Emrick Aubameyang kuisawazishia Dortmund zikiwa zimebaki dakika 15. kumpa
  Baada ya mechi Guardiola alikwenda mkono kocha wa Dortmund', Klopp ambaye hata hivyo aliupuuza na kukimbia uwanjani kwenda kushangilia wachezaji kuingia Fainali ya Ujerumani.
  Klopp, ambaye ametangaza ataondoka Dortmund mwezi huu, hakumuona hata wakati Guardiola anafika, akikimbia kwenda kushangilia na Sebastian Kehl na Mitchell Langerak.
  Jurgen Klopp races past Pep Guardiola after Manuel Neuer misses the final penalty in cup shootout
  Jurgen Klopp akikimbia wakati Pep Guardiola after Manuel Neuer misses the final penalty in cup shootout

  Akili ya Klopp ilikuwa kwenye sherehe za ushindi wakati Guardiola amemfuata

  Hatimaye Guardiola alimnasa na  Kloppskumpa 'makavu' Klopp's time after the cup encounter at the Allianz Arena 

  Wawili hao baadaye walikutana na kuzungumza 'mawili matatu' kabla ya kuondoka Uwanja wa Allianz Arena, wakati Klopp pia alimtafuta kipa  kipa wa Bayern Munich goalkeeper Manuel Neuer.

  PICHA ZAIDI NENDA: 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GUARDIOLA 'ABOREKA KICHIZI' KUKIMBIWA NA KOCHA MWENZAKE JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top