![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe akimtoka beki wa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 8-0 |
![]() |
| Wachezaji wa Yanga SC wakifurahia ushindi wao jana |
![]() |
| Lango la Coastal likiwa katika majaribu jana |
![]() |
| Kiungoo wa Yanga SC, Salum Telela akimtoka kiungo wa Coastal Ayoub Yahya |
![]() |
| Amisi Tambwe akikabidhiwa mpira wake baada ya kufunga mabao manne jana |







.png)
0 comments:
Post a Comment