• HABARI MPYA

    Thursday, April 09, 2015

    SUAREZ APIGA MBILI, MESSI MOJA...BARCELONA YAUA 4-0 LA LIGA

    Suarez leaps into Messi's arms after the pair's sensational opening strikes put the hosts in control
    Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiwa amemrukia mchezaji mwenzake, Lionel Messi baada ya wawili hao wote kufunga mabao katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya Almeria Uwanja wa Camp Nou usiku huu. Messi alifunga moja, Suarez mawili na lingine Marc Bartra.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3030941/Barcelona-4-0-Almeria-Messi-Luis-Suarez-curl-couple-stunners.html#ixzz3Wl0oJ5eH 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUAREZ APIGA MBILI, MESSI MOJA...BARCELONA YAUA 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top