Philippe Coutinho akishangilia baada ya kufunga bao pekee zikiwa zimesalia dakika 20 mchezo kumalizika katika ushindi wa 1-0 wa Liverpool dhidi ya Blackburn Rovers Uwanja wa Ewood Park, mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Kombe la FA. Mchezo wa kwanza timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana Uwanja wa Anfield mwezi uliopita. Liverpool sasa itamenyana na Aston Villa katika Nusu Fainali Uwanja wa Wembley Jumapili ya Aprili 19.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago


.png)
0 comments:
Post a Comment