Cristiano Ronaldo akifunga bao lake la 300 katika mechi ya 288 tangu aanze kuchezea Real Madrid katika mchezo wa La Liga dhidi ya Rayo Vallecano usiku huu Uwanja wa Teresa Rivero. Bao lingine la Real lilifungwa na James Rodriguez.
Ronaldo akishangilia bao lake la 300 pamoja na Gareth Bale
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3030899/Rayo-Vallecano-0-2-Real-Madrid-Cristiano-Ronaldo-scores-300th-goal-Spanish-club-Carlo-Ancelotti-s-close-gap-Barcelona.html#ixzz3Wl9r3Wym


.png)
0 comments:
Post a Comment