• HABARI MPYA

    Sunday, April 12, 2015

    MSONDO NGOMA 'WALIVYOADABISHA' JANA TCC CLUB CHANG'OMBE

    Wanamuziki wa bendi ya Msondo Ngoma wakitumbuiza jana katika ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe, Dar es Salaam.
    Viajana hapa wanashambulia jukwaa, ilikuwa raha tupu
    Mwimbaji na rapa wa Msondo, Roman Mng'ande 'Romario' akifanya yake
    Wapenzi wa Msondo wakiserebuka jana TCC
    TCC Club imerejesha heshima na mvuto wake chini ya utawala mpya wa Juma Mbizo 'Jay Millions' (katikati)

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MSONDO NGOMA 'WALIVYOADABISHA' JANA TCC CLUB CHANG'OMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top