• HABARI MPYA

    Monday, April 13, 2015

    HUYU NDIYE MFALME MPYA 'BWANA MDOGO' TU WA GOFU ALIYEVUNJA REKODI YA TIGER WOODS

    Jordan Spieth ameshinda taji lake la kwanza kabisa la gofu katika Masters huko Augusta jana baada ya kuwaangusha Justin Rose na Phil Mickelson na kuweka rekodi ya kijana mdogo (miaka 21) zaidi kutwaa taji hilo tangu Tiger Woods mwaka 1997.
    The 21-year-old won the coveted green jacket for the first time in his career having finished runner up in 2014
    Kinda huyo wa miaka 21 akivalishwa koti la kijani kwa mara ya kwanza tangu aanze kucheza gofu, baada yaa mwaka jana kumaliza katika nafasi ya pili

    PICHA ZAIDI NENDA: 

    http://www.dailymail.co.uk/sport/golf/article-3036168/Jordan-Spieth-wins-2015-Masters-four-shots-holding-Justin-Rose-Phil-Mickelson-complete-flawless-tournament.html#ixzz3X9vg4MbV 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUYU NDIYE MFALME MPYA 'BWANA MDOGO' TU WA GOFU ALIYEVUNJA REKODI YA TIGER WOODS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top