• HABARI MPYA

  Thursday, June 01, 2023

  KIKOSI CHA YANGA KIMACHOKWENDA ALGERIA KUWAVAA TENA USM ALGER


  HII ndio orodha ya wachezaji wa Yanga wanaoomdoka leo kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Jumapili Jijini Algiers. 
  Yanga inahitaji ushindi wa 2-0 ili kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutwaa Kombe la Afrika baada ya kufungwa 2-1 kwenye mechi ya kwanza Dar es Salaam Jumapili iliyopita.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA YANGA KIMACHOKWENDA ALGERIA KUWAVAA TENA USM ALGER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top