• HABARI MPYA

  Friday, March 03, 2023

  NYOTA MKONGO AIPELEKA SINGIDA STARS ROBO FAINALI ASFC


  BAO pekee la beki Mkongo Biemes Carmo dakika ya 90 na ushei limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania leo Uwanja wa LITI mjini Singida.
  Kwa matokeo hayo, Singida Big Stars inakwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA MKONGO AIPELEKA SINGIDA STARS ROBO FAINALI ASFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top