KIUNGO wa Yanga SC, Feisal Salum Abdallah akiwa kwenye ibada ya Hija ndogo, Umra huko Makka, Saudi Arabia.
Kwa sasa Feisal amesusa kuchezea Yanga akilazimisha kuondoka na baada ya kugomewa na klabu hiyo hiyo majaribio yake mengine mawili kupitia Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yamegonga mwamba pia.
0 comments:
Post a Comment