Mabao yote ya KMC leo yamefungwa na kiungo Daruwesh Saliboko dakika ya nane na 45, huo ukiwa ushindi wa kwanza katika michezo nane, saba ya awali wakifungwa sita na droo moja.
Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 26 na kusogea nafasi ya 11, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake 32 nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi 25.
0 comments:
Post a Comment