TIMU ya Tottenham Hotspur jana ilipanda kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal, mabao ya Son Heung-Min dakika ya 13 na Harry Kane dakika ya 45 na ushei Uwanja wa Tottenham Hotspur, London.
Kwa ushindi huo, Tottenham Hotspur inafikisha pointi 24 na kupanda kileleni mwa ligi, ikiwazidi wastani wa mabao Liverpool wanaofuatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment