• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 07, 2020

  SALAH, WIJNALDUM WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA WOLVES 4-0


  MABAO ya Mohamed Salah dakika ya 24, Georginio Wijnaldum dakika ya 58, Joel Matip dakika ya 67 na Nélson Semedo aliyejifunga dakika ya 78 jana yaliipa Liverpool ushindi wa 4-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield.
  Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 24 baada ya kucheza mechi 11 na kupanda nafasi ya pili, ikizidiwa wastani wa mabao tu na Tottenham Hotspur inayoongoza
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH, WIJNALDUM WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA WOLVES 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top