• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 07, 2020

  NGORONGORO HEROES WATUA SAUDIA ARABIA KUJIANDAA NA FAINALI ZA AFCON U20 MWAKANI MAURITANIA  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Khalid Jijini Riyadh, Saudi Arabia baada ya kuwasili mapema leo kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa kujiandaa na Fainali za Afrika za U20 zitakazofanyika Mauritania kuanzia Februari 14 hadi Machi 4, mwakani

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NGORONGORO HEROES WATUA SAUDIA ARABIA KUJIANDAA NA FAINALI ZA AFCON U20 MWAKANI MAURITANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top