• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 03, 2020

  DUBE ATAKUWA NJE KWA WIKI NNE BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI WA MKONO LEO AFRIKA KUSINI

   

  MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube, leo Alhamisi amefanyiwa upasuaji uliofanikiwa wa kuunga mfupa wa mkono wake wa kushoto uliovunjika Novemba 25 kwenye mchezo dhidi ya Yanga.
  Upasuaji huo amefanyiwa saa nane mchana, ambapo amewekewa chuma ili kusaidia kuunga kwa sehemu iliyovunjika kwenye mkono wake, kitaalamu upasuaji huo unaitwa ORIF = OPEN REDUCTION INTERNAL FIXATION.
  Dube anatarajiwa kuwa nje ya uwanja, kwa majuma manne akiuguza jeraha lake hilo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DUBE ATAKUWA NJE KWA WIKI NNE BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI WA MKONO LEO AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top