• HABARI MPYA

  Thursday, December 03, 2020

  MZAMBIA LWANDAMINA ALIYEWAHI KUFUNDISHA YANGA SC ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA AZAM FC

  Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina (kushoto) leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha klabu ya Azam FC. Amesaini ofisi kuu za klabu zilizopo Mzizima, barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa klabu, Abdulkarim Amin 'Popat' (kulia). 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MZAMBIA LWANDAMINA ALIYEWAHI KUFUNDISHA YANGA SC ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top