• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 03, 2020

  TFF YAPINGA SIMBA SC KUZUIA MASHABIKI WA TIMU NYINGINE KUINGIA MECHI YAO NA PLATEAU UNITED

   

  TAARIFA hii ya TFF inafuatia Simba SC kuzuia mashabiki wa timu nyingine kuingia kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United ya Nigeria Jumamosi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TFF YAPINGA SIMBA SC KUZUIA MASHABIKI WA TIMU NYINGINE KUINGIA MECHI YAO NA PLATEAU UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top