MAKANDARASI WANAOWANIA TENDA YA UJENZI YANGA SC WALIPOZURU ENEO LA MRADI KIGAMBONI LEO
Wakandarasi kutoka makampuni zaidi ya 10 wakiwa kwenye eneo la Yanga Kigamboni, Dar es Salaam walipotembelea ili kujionea hali halisi ya mazingira tayari kwa utekelezaji wa ujenzi wa viwanja vya mazoezi na hosteli za wachezaji mara tu mshindi wa tenda atakapotangazwa.
0 comments:
Post a Comment