• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 02, 2020

  NGORONGORO HEROES YACHAKAZWA 4-1 NA UGANDA FAINALI YA CECAFA U20 KARATU NA KUPORWA KOMBE

  Beki wa Tanzania, Samuel Jackson akijaribu kumdhibiti mshambuliaji wa Uganda, Kenneth Semakule katika fainali ya CECAFA U20 leo Uwanja wa Black Rhino Academy, Karatu mkoani Arusha. Uganda ilishinda 4-1 na kutwaa Kombe ambalo lilikuwa linashikiliwa na Tanzania.  Mabao ya Uganda yalifungwa na Richard Basangwa dakika ya 12, Steven Sserwadda dakika ya 44, Ivan Bogere dakika ya 61 na Kenneth Semakula dakika ya 72, wakati la Tanzania lilifungwa na Abdul Suleiman dakika ya 3.0

  Wachezaji wa The Kobs wakifurahia ubingwa wa CECAFA U20 baada ya kuichapa Ngorongoro Heroes 4-1 leo Karatu


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NGORONGORO HEROES YACHAKAZWA 4-1 NA UGANDA FAINALI YA CECAFA U20 KARATU NA KUPORWA KOMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top