• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 06, 2020

  BAO LA KUJIFUNGA LAWABABA REAL MADRID, WAICHAPA 1-0 SEVILLA


  REAL Madrid jana wamepata ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sevilla katika mchezo wa La Liga bao la kujifunga la Yassine Bounou dakika ya 55 baada ya kazi nzuri ya Vinicius Jr Uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán na kupanda nafasi ya tatu ikifikisha pointi 20 baada ya mechi 21, sasa ikizidiwa pointi sita na vinara, Atletico Madrid ambao wamcheza mechi 10
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAO LA KUJIFUNGA LAWABABA REAL MADRID, WAICHAPA 1-0 SEVILLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top