• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 06, 2020

  STERLING NA DE BRUYNE WAFUNGA MAN CITY YAWACHAPA FULAHM 2-0


  MABAO ya Raheem Sterling dakika ya tano na Kevin De Bruyne dakika ya 26 kwa penalti jana yameisaidia Manchester City kupata ushindi wa 2-0 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.
  Kwa ushindi huo, Manchester City inafikisha pointi 18 baada ya kucheza mechi 10 na kupanda hadi nafasi ya tano kutoka ya 11 kweneye msimamo
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STERLING NA DE BRUYNE WAFUNGA MAN CITY YAWACHAPA FULAHM 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top