YANGA SC YAMSAJILI MSHAMBULIAJI WAZIRI JUNIOR WA MBAO FC YA MWANZA ILIYOSHUKA DARAJA LIGI KUU
Mshambuliaji wa Mbao FC, Waziri Junior (kulia) akiwa na Katibu wa Yanga SC, Wakili Simon Patrick baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na wana Jangwani hao
Waziri Junior anajiunga na Yanga SC baada ya klabu yake, Mbao FC kushuka daraja
Item Reviewed: YANGA SC YAMSAJILI MSHAMBULIAJI WAZIRI JUNIOR WA MBAO FC YA MWANZA ILIYOSHUKA DARAJA LIGI KUU
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment