• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 07, 2020

  WOLVERHAMPTON YATINGA ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE

  Wachezaji wa Wolverhampton Wanderers wakishangilia baada ya kufanikiwa kutinga Robo Fainali ya Europa League kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Olympiacos, bao pekee la Raul Jimenez kwa penalti dakika ya nane usiku wa jana Uwanja wa Molineux, West Midlands.
  Wolves inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza ugenini na sasa itakutana na Sevilla ya Hispania 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WOLVERHAMPTON YATINGA ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top