• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 09, 2020

  YANGA SC YALETA KOCHA MPYA MBELGIJI AMEFUNDISHA TIMU KIBAO ZA AFRIKA HADI KENYA NA RWANDA

  Klabu ya Yanga imeposti ujumbe wa kumkaribisha kocha Mbelgiji, Luc Aymael (kulia) aliyewahi kuzifundisha klabu za AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Missile ya Gabon, AFC Leopard ya Kenya, Rayon Sport ya Rwanda, JS Kairouan ya Tunisia, Al Nasr ya Dubai, Al Merreikh ya Sudan, Polokwane City, Free State Stars, Black Leopard za Afrika Kusini na Tala'ea El Gaish ya Misri kuashiria kwamba huyo ndiye kocha wake mpya.  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YALETA KOCHA MPYA MBELGIJI AMEFUNDISHA TIMU KIBAO ZA AFRIKA HADI KENYA NA RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top