• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 09, 2020

  REAL MADRID YATINGA FAINALI SUPER CUP HISPANIA

  Kiungo wa Real Madrid, Isco akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 39 katika mchezo wa Nusu Fainali ya Super Cup ya Hispania katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Valencia usiku wa jana Uwanja wa King Abdullah Sports City Jijini Jeddah, Saudia Arabia. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Toni Kroos dakika ya 15 na Luka Modric dakika ya 65, wakati la Valencia lilifungwa na Dani Parejo kwa penalti dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YATINGA FAINALI SUPER CUP HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top