• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 02, 2020

  JESUS APIGA ZOTE MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA 2-1 EVERTON

  Nyota wa Manchester City, Gabriel Jesus akishangilia na wachezaji wenzake, Riyad Mahrez na Phil Foden baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za 51 na 59 ikiwalaza Everton 2-1 katka mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao pekee la Everton limefungwa na Richarlison dakika ya 71 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JESUS APIGA ZOTE MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA 2-1 EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top