• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 02, 2020

  ARSENAL YAWACHAPA MANCHESTER UNITED 2-0 EMIRATES

  Kocha mpya wa Arsenal, Mikel Arteta akifurahia na wachezaji wake baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England, mabao ya Nicolas Pepe dakika ya nane na Sokratis Papastathopoulos dakika ya 42 wakiuanza mwaka mpya vizuri 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAWACHAPA MANCHESTER UNITED 2-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top