• HABARI MPYA

  Wednesday, November 06, 2019

  MKUDE ALIVYO FITI SIMBA SC IKIJIANDAA KUIVAA TANZANIA PRISONS KATIKA LIGI KUU KESHO DAR

  Kiungo wa Simba SC, Jonas Gerald Mkude akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu yake Uwanja wa Gymkhana jana kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons kesho uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKUDE ALIVYO FITI SIMBA SC IKIJIANDAA KUIVAA TANZANIA PRISONS KATIKA LIGI KUU KESHO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top