Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Serge Gnabry akishangilia baada ya kufungia Bayern Munich mabao manne dakika za 53, 55, 83 na 88 katika ushindi wa 7-2 dhidi ya wenyeji Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Joshua Kimmich dakika ya 15 na Robert Lewandowski 45 na 87 wakati ya Spurs yalifungwa na Son Heung-Min dakika ya 12 na Harry Kane kwa penalti dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment