• HABARI MPYA

  Friday, October 25, 2019

  NICOLAS PEPE APIGA BAO MBILI ZA HATARI ARSENAL YASHINDA 3-2 ULAYA

  Nicolas Pepe usiku wa jana amefunga mabao mawili kwa mashuti ya mpira wa adhabu dakika ya 80 na 90 na ushei na kuiwezesha Arsenal kutoka nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Vitoria Guimaraes kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates mjini London. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Gabriel Martinelli dakika ya 32, wakati ya Vitoria Guimaraes yalifungwa na Marcus Edwards dakika ya nane na Bruno Duarte dakika ya 36 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NICOLAS PEPE APIGA BAO MBILI ZA HATARI ARSENAL YASHINDA 3-2 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top