• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 23, 2019

  MADENGE AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE ZA UCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI SEPTEMBA

  Meneja Masoko wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Aaron Nyanda akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni mshambuliaji wa Simba SC, Miraj Athumani 'Madenge' leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam baada ya kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania mwezi Septemba 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MADENGE AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE ZA UCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI SEPTEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top