• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 11, 2019

  'KAPTENI DIEGO' MBWANA SAMATTA AUAGA UKAPERA, AFUNGA NDOA NA MPENZIWE DAR

  Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta 'Kapteni Diego' (kushoto) akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa jana mjini Dar es Salaam. Hongera Samatta, Mungu awajaalie maisha marefu, yenye furaha, amani na upendo na mwenza wako. Amin. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'KAPTENI DIEGO' MBWANA SAMATTA AUAGA UKAPERA, AFUNGA NDOA NA MPENZIWE DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top