Wachezaji wa Arsenal, Calum Chambers, David Luiz na Sokratis Papastathopoulos wakiwa wanyonge baada ya kuruhusu bao la Lys Mousset dakika ya 30 wakifungwa 1-0 na wenyeji, Sheffield United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Bramall Lane mjini Sheffield PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jumanne, Oktoba 22, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni