• HABARI MPYA

  Wednesday, October 23, 2019

  TONI KROOS APIGA BAO LA UGENINI REAL MADRID YANG'ARA ULAYA

  Toni Kroos akishangilia na wachezaji wenzake, Marcelo na Eden Hazard baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 18 katika ushindi wa 1-0 wa ugenini dhidi ya wenyeji, Galatasaray usiku wa jana Uwanja wa Turk Telekom mjini İstanbul 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TONI KROOS APIGA BAO LA UGENINI REAL MADRID YANG'ARA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top