MAN UNITED YASHINDA MECHI YA KWANZA UGENINI TANGU MACHI
Anthony Martial akishangilia kibabe na wenzake baada ya kuifungia Manchester United bao pekee kwa penalti dakika ya 43 ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Partizan Belgrade katika mchezo wa Kundi L UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Partizana mjini Belgrade huo ukiwa ushindi wa kwanza wa ugenini tangu mwezi Machi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment