• HABARI MPYA

  Wednesday, October 23, 2019

  TOTTENHAM HOTSPUR YAITANDIKA RED STAR BELGRADE 5-0 LONDON

  Son Heung-min akifurahia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 16 na 44 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Red Star Belgrade kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Mabao mengine ya Spours yalifungwa na Harry Kane mawili pia dakika ya tisa na 72 na Erik Lamela dakika ya 57 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TOTTENHAM HOTSPUR YAITANDIKA RED STAR BELGRADE 5-0 LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top