• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 14, 2019

  UBELGIJI YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI KUFUZU EURO 2020

  Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao la kwanza dakika ya 21 kabla ya Thomas Meunier kufunga la pili dakika ya 53 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Kazakhstan usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Astana Arena mjini Astana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UBELGIJI YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top