• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 30, 2019

  AZAM FC MAZOEZINI KUJIANDAA NA MCHEZO UJAO WA LIGI KUU DHIDI YA KAGERA SUGAR CHAMAZI

  Mshambuliaji Mrundi wa Azam FC, Suleiman Ndikumana akiwa mazoezini jana kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo hapo hapo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam  
  Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo
  Mshambuliaji wa Azam FC, Frank Domayo akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo 
  Beki Mganda wa Azam FC, Nico Wadada akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC MAZOEZINI KUJIANDAA NA MCHEZO UJAO WA LIGI KUU DHIDI YA KAGERA SUGAR CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top