• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 30, 2019

  AGUERO APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-1

  Sergio Aguero na Nicolas Otamendi (kulia) wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-1 wa Manchester City dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Aguero aliyefikisha mechi 350 Manchester City jana, alifunga mabao yake dakika ya 38 na 56 baada ya Otamendi kufunga la kwanza dakika ya 20 kabla ya Jack Stephens kuifungia Southampton la kufutia machozi dakika ya 75 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGUERO APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top