• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 19, 2019

  ANGEL DI MARIA APIGA MBILI, PSG YAICHAPA NICE 4-1 LIGUE 1 UFARANSA

  Angel di Maria akimtungua Walter Benitez kuifungia Paris Saint Germain bao la kwanza dakika ya 15 kabla ya kufunga la pili dakika ya 21 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Nice kwenye mchezo wa Ligi ya Ufaransa, Ligue 1 usiku wa jana Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice. Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Kylian Mbappe dakika ya 88 na Mauro Icardi dakika ya 90 na ushei, wakati la Nice lilifungwa na Ignatius Ganago dakika ya 67 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ANGEL DI MARIA APIGA MBILI, PSG YAICHAPA NICE 4-1 LIGUE 1 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top