• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 19, 2019

  MAN CITY YAICHAPA CRYSTAL PALACE 2-0 SELHURST PARK

  Wachezaji wa Manchester City wakimpongeza mwenzao, David Silva baada ya kufunga bao la pili dakika ya 41, kufuatia Gabriel Jesus kufunga la kwanza dakika ya 39 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Selhurst Park mjini London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA CRYSTAL PALACE 2-0 SELHURST PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top