• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 27, 2019

  MAN UNITED WAKOSA PENALTI MBILI, WASHINDA 3-1 UGENINI

  Wachezaji wa Manchester United wakipongezana kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Norwich City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Carrow Road, mabao ya Scott McTominay dakika ya 21, Marcus Rashford dakika ya 30 na Anthony Martial dakika ya 73 dhidi ya moja la Onel Hernandez dakika ya 88. Kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer kingeondoka na ushindi mkubwa zaidi kama si Rashford na Martial kukosa penalti 29 na 44 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAKOSA PENALTI MBILI, WASHINDA 3-1 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top